|
Ningeli
jua
Lyrics
in Original Language (Swaheli)
Ningeli
jua
Kama itakuwa ivi o
Singeli fata Njia iyo
Baridi
inepita a
Fasi ya kufishama akuna
Nifanye nje, nifanye nje dada
Ref:
U uuh
U uuh
U
uuh
Njiya
nimefata dada
Inepita vumbi sana
Kihu, kihu ya mayi dada
Natafuta fasi ya kupumzika we
Njiya
Kama
nakumbuka
Mbali nimetoka
Nabidi kurudi nyumbani
Giza
imehingiya
Natafuta njiya dada
Kua ngizi e
Nirudi
(c)
Bernard Mayo
Performer
: Bernard Mayo
Author : Bernard Mayo
Composer : Bernard Mayo
|