Album: Besoin d'Amour

 

Titel:

Lyrics:
Comp.:

Langue originale:

Traductions:

SAFARI

B. Mayo
B. Mayo

Swahili

All translations inside of the booklet.

SAFARI

Hiyi, iko nyumba yangu
Wale ni wandugu zangu
Ata nakwenda
Ata na safiri
Kama narudiya
Fasi yangu iko apa,

Safari, safari
Safari, safari
Safari inabeba mwili wangu mbali
Safari, safari
Safari, safari
Lakini aibebe roho yangu

Safari, safari
Safari, safari
Safari inabeba mwili wangu mbali
Safari, safari
Safari, safari
Lakini aibebe roho yangu